MCSK: Willy Paul anataka MCSK Wanyambe

Msanii wa Kizazi kipya, ambaye alihamia secular kutoka kwa nyimbo za injili kwa jina la Willy paul, ametoa video mtandaoni akiwakashifu maafisa wa MCSF.

Kwenye video hiyo, poze aliskika akiwaambia MCSK Wanyambe kwasababu wamemtumia pesa kidogo sana kulingana na matumaini yake.

Willy paul alipata shilingi elfu nne. Kulingana na vile wasanii mbali mbali wamekua wakiposti pesa ambazo walitumiwa, willy paul nikama yeye ndie aliyepata pesa nyingi zaidi.

Wasanii wameapa kusimama wote na kupigania haki zao.

Facebook Comments
PLEASE SHARE
error0
Tweet 20
fb-share-icon20

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *